Chimbalanzi

Chimbalanzi (pia Chimbalazi au Chimwiini) ni lahaja ya Kiswahili, inayozungumzwa kusini mwa Somalia, hasa katika eneo la Baraawe. Inahesabiwa kati ya lahaja za kaskazini za Kiswahili.[1]

Lahaja hii iko katika hatari ya kufa kwa sababu kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia, wenyeji wengi wameondoka kwao na kutawanyika kote duniani.[2]

  1. Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (kwa Kiingereza). Univ of California Press. ISBN 9780520097759.
  2. "Chimiini Language Project". users.clas.ufl.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-12. Iliwekwa mnamo 2019-02-06. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search